Msishangae

Friday, May 2, 2014

SIkukuu ya Mei Mosi, Rais Jakaya Kikwete amehutubia wafanyakazi katika uwanja wa Uhuru na kuwaahidi kuongeza mishahara yao. Ahadi muhimu kwa wafanyakazi, huku akiahidi pia kuangalia PAYE ambayo imekuwa ikiwaumiza wafanyakazi, na kuahidi kwamba atatusha hadi digiti moja ambapo sasa ni mbili yaani 13.

No comments:

Post a Comment