Msishangae

Thursday, March 22, 2012

Uteuzi wa Afisa Tawala Mikoa

Rais Jakaya Kikwete amefanya uteuzi wa Afisa Tawala saba na wengine watatu amewahamisha vituo vyao vya kazi. Amemteua Dk Faisal Issa kwenda Kilimanjaro, Mariam Mtunguja kwenda Mbeya, Eliya Ntandu kwenda Morogoro na Severine Marco kwenda Geita, Emmanuel Kalobelo kwenda Katavi, Hassan Bendeyeko, Ruvuma na Dk. Anselem Tarimo kwenda Shinyanga. Amemhamishia Mgeni Buriani Njombe, Mwamvua Jilumbi kwenda Simiyu na Bertha Swai kwenda Pwani.

No comments:

Post a Comment