Msishangae

Saturday, April 7, 2012

Simba yasonga

Timu ya Simba ya Tanzania, imesonga mbele katika mashindano ya kombe la Shirikisho la Soka Afrika (CAF) katika hatua ya timu 16 baada ya kuishinda ES Setif kwa faida ya goli la ugenini baada ya kufungwa 3-1 nchini Algeria, wakati katika mechi ya awali iliyofanyika Dar es Salaam wiki mbili zilizopita Simba walishinda 2-0 na hivyo kuwa na jumla ya magoli 3-3 lakini kutokana na Simba kufunga goli nchini Algeria, ndiyo maana imesonga mbele.

No comments:

Post a Comment