Msishangae

Thursday, November 15, 2012


Mkutano wa Chama Cha Mapinduzi umemalizika kwa kumchagua mwenyekiti Dr. Jakaya Kikwete, makamu bara Philip Mangula na makamu visiwani Mohamed Dk. Shein, Katibu Abudulrahim Kinana; Naibu Katibu Bara, Mwegulu Nchemba; Zanzibar Vuai Ali Vuai na Makatibu wa NEC, Fedha na Uchumi, Zakie Meghji; sera na uenezi, Nape Nnauye; Siasa na Uhusiano, Dr. Asha-Migiro; Oganizesheni Dk. Mohamed Seif Khatib.

No comments:

Post a Comment