Msishangae

Tuesday, May 29, 2012

Mfinde wa Uyacode

Mratibu wa Uyacode, Taasisi inayotoa mafunzo kwa Vicoba, Aldo Mfinde akiwa na Diwani wa Kata ya Msongole, Anjelina Malembeka mbele ya ukumbi wa Magereza, Kilimani Ukonga kabla ya kuzindua rasmi Vicoba ya Kilimani Jumamosi, Mei 26, 2012.

No comments:

Post a Comment