Msishangae

Friday, April 6, 2012

Ijumaa Kuu

Ijumaa Kuu ni Siku ambayo waumini wa kikristo duniani, wanaadhimisha siku ya kufa kwa Bwana Yesu Kristo Msalabani. Kwa mataifa mengi siku hiyo ni Sikukuu. Kwa desturi ya baadhi ya makanisa ni siku ya kufunga na kutokula nyama.

No comments:

Post a Comment