Msishangae

Friday, March 16, 2012

Vicoba

Vikundi vya Akiba na Mikopo Vijijini (Vicoba), vimefanikiwa kuwajengea uwezo akinamama na akinababa katika mikoa mbalimbali nchini Tanzania. Hivi sasa kuna vikundi 550 katika maeneo mbalimbali nchini. Juzi, Mratibu wa Uyacode, taasisi inayotoa mafunzo kwa vikundi hivyo, Aldo Mfinde alianzisha vikundi vingine tisa katika wilaya ya Kibiti, mkoani Pwani.

No comments:

Post a Comment