Msishangae

Thursday, April 26, 2012

Union Day

Miaka 48 ya Muungano uliofanyika Aprili 26, 1964 kati ya Zanzibar na Tanganyika na kuzaa Tanzania. Umepita katika vigingi vingi, lakini msingi wake unatakiwa kudumu, japo unahitaji marekebisho mengi ili kuondoa kero zake.

No comments:

Post a Comment