Msishangae

Tuesday, March 13, 2012

Galilaya: Matendo ya Mitume 1:11

Enyi watu wa Galilaya mbona mnashangaa mkitazama mbinguni, huyo Yesu mliyemuona akienda zake mbinguni, atarudi jinsi hiyo hiyo mlivyomuona akienda.(mdo 1:11)

3 comments: